“Ikohaja ya kuweka tozo kwa wachimbaji mchanga”.Mh. Ummy Mwalimu.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu amesema iko haja ya kuweka tozo maalumu ya kurejesha hali ya mazingira kutokana na na athari za uchimbaji wa mchanga kama ilivyo kwenye migodi mikubwa katika maeneo ya Bagamoyo Mkoani Pwani. Akikagua maeneo ya uchimbaji wa mchanga katika eneo kitongoji cha